Manispaa ya Dodoma imefungua milango kwa wananchi kuweza kuanzisha viwanda vidogo ili kujiongezea kipato. Halmashauri tayari ipo kwenye mkakati wa kutenga maeneo ambayo wananchi wataweza kufanya shunguli zao za uzalishaji bila bugudha.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.