Wednesday 22nd, January 2025
@Nyerere Square Ground
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Ummy Mwalimu (Mb) atakuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya utoaji mikopo kutoka asilimia kumi ya makusanyo ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma kutoka kwenye mgao wa Mapato ya Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2021/22.
Jumla ya Vikundi 48 ambapo vikundi cha Wanawake ni 19, vikundi vya Vijana ni 19 na watu wenye Ulemavu ni 10. Jumla ya shilingi Bilioni 1,039,050,000/= zinatolewa na Jiji la Dodoma kwa vikundi hivyo.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.