Sunday 22nd, December 2024
@Uwanja wa Kaitaba
Kagera Sugar FC itaikaribisha timu ya Dodoma Jiji FC kutoka jiiji la Dodoma katika mchezo wa duru la saba Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Timu hizi zinakutana katika mchezo unaotarajiwa kuwa mkali hasa kutokana na nafasi zao katika msimamo wa ligi kuu ambapo Dodoma Jiji FC iko nafasi ya 5 ilhali Kagera Sugar iko nafasi ya 15. Hivyo kila timu itakuwa na shauku ya kuona inapata ushindi katika mchezo huo ili kujiongezea pointi zitakazoikusuma mbele katika msimamo huo.
Kila la heri timu yetu Dodoma Jiji FC
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.