Wednesday 22nd, January 2025
@
Baraza la Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma linatarajiwa kukutana Oktoba 31 mwaka huu. Hiki ni kikao cha kawaida cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2017/18 ambapo taarifa za miradi ya Maedeleo zitajadiliwa.
Kikao kitafanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Dodoma uliopo katika ofisi za Manispaa zilizopo jirani na Jengo la LAPF kuanzia saa 4 kamili asubuhi.
Wananchi wote wa Manispaa ya Dodoma mnaalikwa kuhudhuria mkutano huo muhimu ili muweze kupata taarifa mbalimbali hususan za miradi ya maendeleo inayofanywa na Manispaa yenu.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.