Monday 30th, December 2024
@Ukumbi wa Mikutano wa Manispaa ya Dodoma
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma linatarajia kukutana Agosti 2 na 3 mwaka huu katika kikaio cha Kawaida cha kupokea na kujadili taarifa
mbalimbali za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha Mwezi Aprili hadi June 2017.
Wananchi wote wanaalikwa kuhudhuria mkutano huo muhimu.
Kikao kitafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Manispaa ya Dodoma
Muda wa Kikao ni kuanzia saa 4;00 asubuhi na kuendelea.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.