Friday 6th, December 2024
@Ukumbi wa J.K. Nyerere - Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini IRDP
Mkurugenzi atafanya kikao cha kazi na Watendaji wa Kata, Watendaji wa Mitaa na Watumishi wa Idara ya Mipango miji, Ardhi na Maliasiri.
Aidha, kikao hiki kitahudhuriwa na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa - TAKUKURU ambao watatoa mada kuhusu Mapambano dhidi ya rushwa.
Pia kutakuwa na Mkufunzi kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa - Hombolo (LGTI) ambaye atatoa mada ihusuyo wajibu na majukumu ya Mtendaji wa Kata/Mtaa.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.