Sunday 22nd, December 2024
@Ukumbi wa Mikutano LAPF Dodoma
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi linawatangazia Kongamano la Tano la Uwezeshaji litakalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa LAPF Jijini Dodoma.
Mgeni rasmi: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa.
Kauli mbiu: UWEZESHAJI WA UCHUMI JUMUISHI
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.