Wednesday 22nd, January 2025
@Ukumbi wa Bunge - Dodoma
Ofisi ya Bunge inapenda kuwajulisha Waheshimiwa Wabunge wateule wote kuwa kila mmoja anapaswa kuambatana na wageni wasiozidi ishirini (20) wakati wa zoezi la kuapa.
Aidha, zoezi la kuapa litafanyika kwa haraka na kwa muda mfupi kwa kuzingatia ratiba ya mkutano. HIvyo, Wabunge Wateule wote wanaombwa kulizingatia tangazo hili.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.