Sunday 22nd, December 2024
@Jiji la Dodoma
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma anapenda kuwataarifu watumishi na wananchi kwa ujumla kuwa kuanzia tarehe 16-23 Juni, 2019 ni wiki ya Utumishi wa Umma. Wiki hiyo itaongozwa na kaulimbiu isemayo “Uhusiano kati ya uwezeshaji wa vijana na usimamizi wa masuala ya uhamiaji: Kujenga utamaduni wa Utawala Bora, matumizi ya TEHAMA na ubunifu katika utoaji wa Huduma Jumuishi.”
Kwa maelezo zaidi bofya hapa: WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.