Wednesday 15th, January 2025
@Eneo la Mapumziko Chinangali
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, anarejea Jijini Dodoma akitokea akitokea New York nchini Marekani kupitia Jijini Dar es Salaam. Rais Samia alikuwa nchini Marekani alipokuwa akihudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Aidha, Mheshimwa Rais Samia anatarajiwa kuwasiri katika uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma majira ya saa 8 mchana.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.