Saturday 12th, October 2024
@Viwanja vya Bunge - Viwanja vya Mashujaa
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Binilith Mahenge ataongoza matembezi ya hisani ya Udhamini wa Mfuko wa Kudhibiti UKIMWI (ATF) akiwa ndiye mgeni rasmi. Matembezi yataanzia Viwanja vya Bunge na kuelekea Viwanja vya Mashujaa. Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS atakuwepo pia katika matembezi hayo. Ratiba inaonesha kuwa, pamoja na mambo mengine, mgeni rasmi ataongoza changizo la Mfuko wa UKIMWI.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.