Sunday 22nd, December 2024
@Medeli
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango anatarajia kuwa mgeni rasmi wa Matembezi ya hiari na upandaji miti katika Jiji la Dodoma.
Aidha, matembezi hayo yataanzia katika viwanja vya Bunge na kuelekea Medeli mahali ambapo Mhe. Dkt. Mpango ataongoza zoezi la upandaji miti.
Naye Mkuu wa Idara ya Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu wa Jiji la Dodoma, Dickson Kimaro ameeleza kuwa katika kufanikisha zoezi la upandaji miti, tayari imeandaliwa miti 800 ambayo itapandwa katika eneo hilo la Medeli.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.