Thursday 10th, October 2024
@Uwanja wa Jamhuri
Wafanyakazi nchini wanatarajiwa kuungana na wafanyakazi wote duniani kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi (May Day) ambapo hapa nchini inafanyika kitaifa Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Mheshimiwa Rais atatoa vyeti kwa wafanyakazi hodari na wanamichezo na kisha kusikia risala ya wafanyakazi wa Tanzania.
Aidha, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutoa hotuba ambayo inasubiriwa kwa shauku kubwa na wafanyakazi nchini.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.