Saturday 14th, December 2024
@Uwanja wa Jamhuri
Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi duniani kote yanafanyika tena mwaka huu 2021, huku kitaifa yakifanyika Jijini Mwanza kwenye Uwanja wa CCM Kirumba na hapa Dodoma yanafanyika Jijini katika uwanja wa Jamhuri.
Siku hii ni maalum kwa wafanyakazi kuonesha umona na shughuli wanazozifanya na hata kujua mwelekeo ya Serikali kuhusu maslahi yao na utatuzi wa changamoto wanazokutana nazo mahali pa kazi.
Mwaka huu wafanyakazi wanamatumaini makubwa hasa baada ya Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Haasan kusema kuwa watumishi wanaostahili kupanda vyeo, wapande kwa mujibu wa utaratibu uliowekwa.
"Maslahi bora, mishahara juu, kazi iendelee"
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.