Wednesday 22nd, January 2025
@Ukumbi wa Mikutano wa Manispaa
Baraza la Madiwani la Manispaa ya Dodoma linatarajia kukutana kwa ajili ya kikao maalum cha kumchagua Meya wa Manispaa Julai 19 mwaka huu baada ya Meya wa awali kuondolewa madarakani kwa tuhuma za matumizi mabaya ya Ofisi.
Kikao kitafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Manispaa ya Dodoma
Muda wa Kikao ni kuanzia saa 4;00 asubuhi na kuendelea.
WANANCHI NA WADAU WOTE WA MAENDELEO WANAKARIBISHWA
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.