Wednesday 22nd, January 2025
@Morena Hotel - Dodoma
ONGEA ni kipindi cha redio kinachoandaliwa na Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Tume ya kudhibiti UKIMWI Zanzibar (ZAC) kwa kushirikiana na Shirika la UNICEF, pamoja na wadau wengine.
Ufunguzi wa programme hii unafanyika Jijini Dodoma amabapo mgeni rasmi atakuwa Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.