Wednesday 22nd, January 2025
@Shule ya Msingi Nkuhungu ndipo Mwenge utakapokesha
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kupokelewa na kukimbizwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Dodoma tarehe 5/8/2018. Mwenge utapokelewa katika Kata ya Veyula ukitokea Wilayani Chemba na baada ya kukimbizwa na kukesha katika Kata ya Nkuhungu, utakabidhiwa Wilaya ya Bahi mnamo tarehe 6/8/2019 ili uendelee na mbio zake.
Kauli Mbiu ya Mbio za Mwenge wa Uhuru 2018 inasema "Elimu ni Ufunguo wa Maisha, wekeza sasa kwa Maendeleo ya Taifa"
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 ni Charles Kabeho.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.