Wednesday 22nd, January 2025
@Maeneo ya Mradi
Timu ya Waratibu wa Mradi wa TSCP kutoka OR-TAMISEMI pamoja na Benki ya Dunia wanatembelea mradi wa TSCP kuona na kukagua maendeleo ya mradi Jijini Dodoma.
Miradi inayotembelewa katika ziara hii ni:-
Siku ya kwanza
• Barabara za Boma, Biring/Farahani
• Barabara ya Central Business Park
• Barabara za Zuzu, Ndovu na Swala
• Barabara ya Kikuyu-Chidachi-Kinyambwa-Itega
• Maegesho ya Malori Nala
• Barabara ya Chang'ombe/DMC
• Mtaro wa maji ya mvua wa Ilazo/Ipagala
• Barabara ya Ipagala-Ilazo
• Vizimba vya taka (Iyumbu, Nhong'hongha, Njedengwa, Msalato na Mkonze
Siku ya pili
• Eneo la mapumziko Chinangali
• Stendi Kuu ya Mabasi
• Soko Kuu - Nzuguni
Ratiba kamili hii hapa: Ratiba ya Timu ya Mradi wa TSCP
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.