Wednesday 22nd, January 2025
@Nyerere Square
Tukio kubwa la utiaji saini Mikataba ya Ujenzi wa Miundombinu kwa Halmashauri ya Jiji la Dodoma unafanyika Nyerere Square, mgeni rasmi ni Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa mheshimiwa Suleiman Said Jafo (Mbunge).
Kwa ufafanuzi zaidi wa miradi husika bofya hapa: Utiaji saini Mikataba ya Ujenzi wa Miundombinu mbalimbali Jijini Dodoma
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.