Wednesday 22nd, January 2025
@Nyerere Square - Dodoma
Serikali inatarajia kufanya Uzinduzi wa Mifumo ya TEHAMA ya Utoaji Huduma za Serikali. Uzinduzi huu utafanyika kama sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kitaifa hapa Jijini Dodoma katika eneo la Nyerere Square tarehe 23/06/2018 ambapo litatanguliwa na siku mbili za wananchi kupata nafasi ya kuhudumiwa kupitia mifumo hiyo.
NA
|
MFUMO/MIFUMO YA MAWASILIANO/HUDUMA |
MTEKELEZAJI
|
1
|
Usimamizi wa Mifumo ya Mawasiliano na Mitandao
|
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano)
|
2
|
Mfumo wa Malipo wa Serikali (Government e-Payment Gateway –GePG)
|
Wizara ya Fedha na Mipango
|
3
|
Mifumo ya Ofisi Mtandao (e-Office)
|
Wakala ya Serikali Mtandao (eGA)
|
4
|
Mfumo wa Wakala wa Usajili, Vizazi na Vifo (Birth and Death Registration system)
|
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)
|
5
|
Mfumo wa Utoaji Huduma za Serikali Kupitia Simu za Mikononi (Mobile Platform)
|
Wakala ya eGA kwa kushirikiana na Taasisi zilizoanza kutoa huduma kupitia simu za mikononi
|
6
|
Mfumo wa Taarifa za Kitabibu (Telemedicine)
|
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)
|
7
|
Mfumo wa Taarifa za Ununuzi ( National e-Procurement System)
|
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA)
|
8
|
Mfumo wa Kumbukumbu za Kielektroniki (e-Records)
|
Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa (DRAM)
|
9
|
Mfumo wa Usajili wa Biashara kwa Njia ya Mtandao (Business Portal)
|
Wakala ya Usajili wa Biashara na Utoaji wa Leseni (BRELA)
|
10
|
Uwezeshaji wa Mawasiliano kwa Wote
|
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)
|
11
|
Uwezeshaji wa Miundombinu ya Mawasiliano na Mitandao
|
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)
|
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.