Wednesday 22nd, January 2025
@Nyerere Square
Uzinduzi wa Mradi wa Kutokomeza Vitendo vya Unyanyasaji na Udhalilishaji dhidi ya Wanawake na Watoto katika maeneo ya Masoko utafanyika katika viwanja vya Nyerere (Nyerere Square) ambapo mgeni rasmi ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Kauli mbinu: "Kutokomeza Vitendo vya Unyanyasaji na Udhalilishaji dhidi ya Wanawake na Watoto unaanza na mimi"
Viongozi mbalimbali watakuwepo kwenye uzinduzi huu wakipo Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (Mb), Katibu Mkuu - Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. John Jingu, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge, Mwenyekiti wa ALAT Taifa, Katibu Mkuu wa ALAT, Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dkt. Leopold Zekeng Achengui, Mwakilishi wa UN Women Hodan Addou na Wananchi wote
Ratiba kamili: Ratiba ya Uzinduzi
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.