Sunday 22nd, December 2024
@Nyerere Square Ground
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira inataarifu kuwa kutakuwa na hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Mazingira ya Mwaka 2021 siku ya Jumamosi ya tarehe 12/02/2022 katika viwanja vya Nyerere Square kuanzia saa 1 kamili asubuhi ambapo mgeni rasmi atarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango."
Hafla hiyo inabebwa na kauli mbiu isemayo: "Mimi Natekeleza Sera ya Taifa ya Mazingira"
Watu wote mnakaribishwa!
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.