Wednesday 22nd, January 2025
@Low Cost
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Peter Mavunde anatarajia kutoa matofari na mifuko ya saruji ambavyo vimenunuliwa na fedha ya mfuko wa jimbo ya mwaka wa fedha 2019/2020 kwa shule za msingi 40 zilizopo katika jimbo la Dodoma mjini.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.