Wednesday 22nd, January 2025
@Nyerere Square
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo kesho anatarajiwa kukabidhi hundi za fedha kwa vikundi vya wajasiriamali wa Jiji la Dodoma. Fedha hizo ni sehemu ya utekelezaji wa jukumu la Halmashauri ya Jiji la Dodoma kupeleka asilimia kumi kutoka mapato ya nyanzo vya ndani kwenda kwa Wakinamama, Vijana na Walemavu. Watu wote mnakaribishwa.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.