Sunday 22nd, December 2024
@Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa, anatarajiwa kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mipango na Bajeti kwa Mamlaka zaa Serikali za Mitaa (PlanRep) na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji wa Taarifa za Fedha kwenye Vituo vya Kutolea Huduma (FFARS). Uzinduzi huo utafanyika mjini Dodoma tarehe 05 Septemba, 2017 saa 4 asubuhi kwenye ukumbi wa LAPF.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.