Wednesday 22nd, January 2025
@Dodoma Mjini
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa (Mb) atafanya ziara ya kikazi kutembelea Wilaya ya Dodoma Mjini ambapo pamoja na mambo mengine atapokea taarifa za Wilaya, ataongea na watumishi wa Jiji na taasisi zingine za serikali hapa Dodoma na kutembelea hospitali ya mkoa, kukagua ujenzi wa Stendi Kuu ya mabasi na soko kuu, kukagua mradi wa maji Njedengwa.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.