Wednesday 22nd, January 2025
@Soko la BONANZA
Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Chamwino inawakaribisha wadau wote wa mazingira kushiriki zoezi la usafi katika Soko la Bonanza mtaa wa Nduka.
Mgeni rasmi katika zoezi hili ni Mhe. Dkt. Sulemani Jafo, ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.
Watu wote mnakaribishwa!
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.