KATA YA HOMBOLO MAKULU
Kata ya Hombolo - Makulu ni miongoni mwa kata mpya iliyoanzishwa mwaka 2015 na kufanya kata arobaini ya moja (41) zinazounda Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Kata ya hii ina vijiji viwili vyenye vitongoji 13.
Vijiji: Hombolo Makulu na Zepisa
Vitongoji Kijiji cha Hombolo Makulu
Vitongoji Kijiji cha Zepisa
MIPAKA: Kusini inapakana na kata ya Hombolo Bwawani na Ipala, Kaskazini inapakana na kata ya Mkondai (Bahi), Mashariki inapakana na kata ya Hombolo Bwawani na Magharibi kata ya Chihanga.
IDADI YA WATU: Kata ya Hombolo Makulu ina Kaya 3,138 zenye jumla ya watu 13,113 wakiwamo wanaume 6,193 na wanawake 6,603 na jumla ya wazee 317.
UONGOZI
Diwani: Mhe. Jacob LEMANYA
Mwenyekiti wa Kijiji
|
NA
|
JINA
|
KIJIJI
|
|
1.
|
Jackson Nhonya
|
Hombolo Makulu
|
|
2.
|
Jastin Chilingo
|
Zepisa
|
|
|
|
|
Wenyeviti wa Vitongoji (Hombolo Makulu):
Wenyeviti wa Vitongoji (Hombolo Makulu):
Watendaji waliopo:
Baraza la Kata: Lipo na linafanya kazi vizuri.
HUDUMA YA AFYA: Kuna zahanati mbili ambazo ni 1. Zahanati ya Vikonje na 2. Zahanati ya Mtumba
HUDUMA YA ELIMU:
Shule za Msingi
|
NA
|
SHULE
|
WAVULANA
|
WASICHANA
|
JUMLA
|
|
1.
|
Hombolo Makulu
|
458
|
492
|
950
|
|
2.
|
Maseya
|
227
|
199
|
426
|
|
3.
|
Msisi
|
224
|
212
|
436
|
|
4.
|
Zepisa
|
369
|
537
|
906
|
|
|
Jumla:
|
1,278
|
1,440
|
2,718
|
MIFUGO: Idadi
Ng'ombe
|
Mbuzi
|
Kondoo
|
Kuku
|
Nguruwe
|
Mbwa
|
Punda
|
Sungura
|
Paka
|
Bata
|
6,149
|
6,812
|
1,887
|
8,531
|
167
|
393
|
261
|
35
|
127
|
302
|
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.