• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Asiachwe mwanafunzi yeyote mwenye sifa za kujiunga na Kidato cha kwanza- Ndejembi

Imewekwa tarehe: March 6th, 2024

OR-TAMISEMI

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanafunzi wote wenye sifa za kuandikishwa kwa darasa la kwanza na kujiunga kidato cha kwanza wanasajiliwa ndani ya muda uliopangwa.

Ndejembi alitoa agizo hilo leo wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya zoezi la kuripoti kwa wanafunzi katika Shule ya Sekondari Kilolambwani iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi.

“Mwisho wa zoezi la kuripoti kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza na uandikishaji wa darasa la kwanza ni Machi 31. Agizo langu kwa Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini ni kuhakikisha kuwa kila mwanafunzi mwenye sifa anapata nafasi ya kujiunga na masomo.”

“Niwatake pia watendaji wa ngazi za chini kuanzia mtendaji wa kijiji/mtaa, mtendaji wa kata na tarafa wote wanakua mstari wa mbele kuhakikisha wanashirikiana na walimu wakuu wa shule za msingi ambao wanafunzi wao wamefaulu ili kuwabaini ambao wazazi wao watazuia watoto wao kutojiunga na masomo,” alisema Ndejembi.

Ametoa wito kwa wazazi nchini kutowanyima watoto wao haki ya msingi ya kupata elimu na kuwataka watendaji wa serikali kuwafichua kwa vyombo vya dola wazazi ambao wataruhusu watoto wao kwenda kufanya kazi za ndani na kuacha shule.

“ Serikali inayoongozwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imefanya uwekezaji mkubwa sana kwenye sekta ya elimu. Shule hii ya Kilolambwani imegharimu Sh Milioni 570 hivyo wazazi msiwazuie watoto majumbani waacheni wakapate elimu ambayo ni bure haina malipo,” alisema Ndejembi.

Naye, Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete ameishukuru Serikali kazi kubwa ya maendeleo inayofanywa kwenye jimbo hilo ikiwamo ujenzi wa Sekondari hiyo ambayo amesema imekuwa mwarobaini kwa wanafunzi ambao awali walikua wakitembea umbali mrefu.



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.