• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Baraza la Madiwani kupitisha vipaumbele vya Barabara za TARURA

Imewekwa tarehe: April 23rd, 2021

Serikali imesema kuanzia mwaka ujao wa fedha utaratibu wa vipaumbele vya barabara zinazosimamiwa na Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) utapitishwa na Baraza la Madiwani.

Akihitimisha na kujibu hoja mbalimbali za wabunge waliochangia bajeti ya ofisi hiyo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Ummy Mwalimu amesema serikali imefanya uamuzi huo ili kuwapa fursa Madiwani kujadili vipaumbele vya matengenezo, maboresho pamoja na ujenzi wa barabara.

Amesema kuanzia mwaka ujao wa fedha Waheshimiwa Madiwani watakuwa na siku nne badala ya tatu za kujadili bajeti, kwa kuwaongezea siku moja ambayo itatumika kujadili vipaumbele vya matengenezo na ukarabati wa barabara.

“Tumeongeza siku moja kabla ya zile siku tatu za Madiwani kujadili bajeti kuitumia kujadili vipaumbele vya matengenezo, maboresho pamoja na ujenzi wa barabara, na ikiwezekana Madiwani waende ‘site’ wakaone hizo barabara ambazo zinapendekezwa kujengwa na kufanyiwa maboresho,” amesema.

Uamuzi huo wa serikali unafuatia malalamiko ya Wabunge mbalimbali waliochangia hoja katika bajeti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kuwa maamuzi ya barabara ipi ijengwe yamekuwa yakifanywa na Wataalamu wa TARURA katika ngazi ya mkoa, badala ya uamuzi huo ufanywe katika ngazi ya halmashauri.

Bunge limeidhinisha mapato na matumizi ya bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika mwaka wa fedha 2021/22 ambapo jumla ya Shilingi Trilioni Saba Bilioni Mia Sita Themanini na Tatu Milioni Mia Tatu Ishirini na Tisa Mia Sita Arobaini na Nne Elfu na Mia Nane, (Tsh7, 683,329,644,800.00), kwa ajili ya Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Tume ya Utumishi wa Walimu, na Mikoa pamoja na Halmashauri zake 184.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.