• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

CCM Dodoma yawatangazia neema wafanyabiashara Soko la Sabasaba

Imewekwa tarehe: August 24th, 2023

Na. Dennis Gondwe, DODOMA

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma kimewahakikishia wafanyabiashara wa Soko la Sabasaba kuwa hawataondolewa katika soko hilo hadi Mwezi Julai mwakani ili waendelee kutekeleza majukumu yao bila wasiwasi.

Kauli hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa katika mkutano wa hadhara na wafanyabiashara wa Soko la Sabasaba jijini Dodoma.

Kimbisa alisema “napenda kuwafahamisha kuwa hadi mwezi Julai mwakani hakuna mfanyabiashara atakayebughudhiwa hadi halmashauri itakapopata fedha za kuendeleza soko hilo. Halmashauri wakipata fedha hizo lazima tukae pamoja na kukubaliana wanaanza na jambo gani na kuendelea na jambo gani. Tunafahamu jiji mtajenga kwa awamu, mtashirikiana na uongozi wa soko ili kuhakikisha huduma zinakuwa bora”.

Akiongelea daladala kuingia katika Soko la Sabasaba, alisema kuwa soko hilo siyo stendi ya daladala. “Daladala zinapopaki kwa sasa si sawa. Daladala zilipo zitaua watoto wa shule na wagonjwa. Fanyeni haraka daladala zipite na kushusha na kupakia abiria katika Soko la Sabasaba hii siyo stendi. Latra kaeni na uongozi wa soko kuhakikisha daladala zinapita hapa”.

Aidha, aliutaka uongozi wa soko kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya biashara kwa kutandaza hadi eneo ambalo daladala zinapita. Alimtaka Mkuu wa Wilaya ya Dodoma kuhakikisha Askari Polisi wanakuwepo muda wote ili daladala zisitumie muda mrefu kusubiria abiria.

Kwa upande wa mfanyabiashara katika Soko la Sabasaba, Madimilo Mbogoni alisema kuwa walikuwa na hofu ya kuondolewa katika soko hilo. “Tunamshukuru Mwenyekiti wa CCM kwa kufika kuongea na sisi wafanyabiashara wa Soko la Sabasaba. Sasa tulikuwa na hofu kubwa kuhusu kuondolewa katika maeneo haya tumeteseka kwa muda mrefu kujua hatima yetu. Lakini leo tumepata ufumbuzi na kweli tunawashukuru viongozi wote walioshiriki mpaka kuhakikisha tumefikia hapa. Hofu yetu imetutoka na tunamshukuru Mungu” alisema Mbogoni.





Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.