Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini Mhe. Anthony Mavunde akiambatana na Diwani wa Kata ya Nzuguni Mhe. Aloyce Luhega wametembelea na kufanya ukaguzi wa ukarabati wa barabara za Nzuguni. Ukarabati huo unafanywa na Mkandarasi Kampuni ya Canopies Construction limited na ukarabati unaendelea vizuri.
Picha na matukio:
Mhe. Anthony Mavunde mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini kulia akiwa ameambatana na Diwani wa kata ya Nzuguni walipotembelea shughuli za ukarabati wa miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini akipata maelezo kutoka kwa mkandarasi.
Mhe. Anthony Mavunde akiongea na vijana wa Nzuguni.
Gari la kampuni likiendela kumwaga kifusi, tayari kwa ajili ya matengenezo ya barabara,
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.