MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi za Mradi wa Tactic (Project Supervision Office) lenye ghorofa moja.
Ujenzi upo hatua ya ujenzi wa kuta za tofali na uandaaji wa nguzo wima sehemu ya kwanza ya ghorofa.
Ikumbukwe kuwa Halmashauri ya Jiji la Dodoma ni miongoni mwa Miji 45 ambayo imepewa kipaumbele cha kupata ufadhili wa mradi huu wa uboreshaji miundombinu ya Miji, Manispaa na Majiji.
Maandalizi ya utekelezaji wa mradi huu yamegawanywa katika makundi matatu kwa kuzingatia awamu za mgao wa fedha kutoka kwa mfadhili (Benki ya Dunia
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.