Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj. Jabir Shekimweri amekagua Mradi wa Ujenzi wa Daraja Ipagala, unaotekelezwa chini ya mradi wa TACTIC
Mradi upo hatua ya Ujenzi wa vivuko, Uchimbaji wa mtaro na Umwagaji wa zege.
Mradi wa TACTIC ni mojawapo ya miradi inayotekelezwa na Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI kwa fedha za mkopo wa Dola za Kimarekani Milioni 410 bila kodi ya ongezeko la thamani (VAT)
kutoka Benki ya Dunia. Malengo ya mradi huu ni kuboresha miundombinu ya Miji 45 ya Tanzania Bara pamoja na kujengea uwezo taasisi kwenye
Halmashauri husika ili ziweze kujiimarisha katika usimamizi wa uendelezaji miji pamoja na ukusanyaji wa mapato..
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.