Diwani wa Kata ya Hazina Halmashauri ya Jiji la Dodoma Samwel Mziba (CHADEMA) amejiuzulu nafasi yake kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa Chama chake.
Mziba alitangaza uamuzi huo Agosti 26, 2018, ambapo alisema anavutiwa na utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, na kwamba kutokana na sababu hiyo atajiunga na Chama cha Mapinduzi ili kuunga mkono juhudi za Serikali za kuwaletea Wananchi Maendeleo.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.