• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Dkt. Msonde atoa maagizo kwa walimu na viongozi wa elimu

Imewekwa tarehe: April 3rd, 2023

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI ayesimamia elimu, Dkt. Charles Msonde amewaagiza Walimu Wakuu wa shule za msingi na wasimiamazi wa elimu kufuatilia ufundishaji na ujifunzaji shuleni na kuhakikisha wanafunzi wa darasa la kwanza wanamudu stadi ya Kusoma, kuandika na kuhesabu.

Ametoa maagizo wakati alipokutana na walimu Wakuu, Maafisa elimu na viongozi wanaosimamia elimu katika Mkoa Songwe kwa ajili ya kuhimiza utendaji kazi na utekelezaji wa mikakati ya serikali ya uboreshaji wa utoaji elimu nchini.

Dkt. Msonde amewaagiza Wakuu wa Shule kuwabainisha wanafunzi Wote wa kuanzia darasa la kwanza mpaka darasa la nne wasiomudu Kusoma, Kuandika na Kuhesabu na kuwawekea mkakati wa kuwasaidia ndani ya muda mfupi kabla hawajaendelea na masomo mengine.

"Tuhakikishe wanafunzi wote wa darasa la kwanza wajue Kusoma, kuandika kuheshabu, wakishaingia darasa la pili wanafundishwa kuongeza kasi wakati wa kusoma na kuandika lakini wakifika darasa la tatu ndio tunawapa Msingi wa kushika masomo mbalimbali na sio tena kusoma na kuandika” alisema Dkt. Msonde

Aidha, Dkt. Msonde amewata walimu wakuu na wasimamizi wa ngazi zote kuondokana na hali ya kufanya kazi kwa mazoea na kuanza kivingine katika mwaka huu wa 2023 na kuhakikisha yasiyowezekana yanawezekana.

Ameeleza kuwa dira ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka kuona wanafunzi wote wanakuwa ujuzi na umahili kwa kila ngazi wanayopitia ambapo wenye jukumu la kusaidia Utekelezaji wa jambo hilo ni Walimu.

Amewaagiza Viongozi wa elimu ngazi zote kufanya ufuatiliaji wa mara kwa mara ili kubaini changamoto mbalimbali zinazokabili sekta ya elimu ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto na kero za walimu kwa kuwafuata katika vituo vyao vya kazi badala ya kukaa maofisini.


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.