• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Serikali kuimarisha utafiti wa kilimo ili kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao ya kilimo nchini

Imewekwa tarehe: March 5th, 2022

SERIKALI ya awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuimarisha utafiti wa Kilimo nchini  na kuwajengea uwezo watafiti wa kilimo waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi kwa kuongeza bajeti katika eneo hilo la utafiti ili kukuza sekta ya kilimo nchini.

Hayo yamesemwa leo na  Naibu Waziri wa kilimo Mhe. Anthony Mavunde wakati alipotembelea Taasisi ya utafiti wa kilimo nchini TARI katika makao makuu ya ofisi zake zilizopo Makutupora Jijini Dodoma na kuangalia kazi zinazofanywa na Taasisi hiyo.

“Mimi na Mhe. Waziri Bashe ni waumini wakubwa sana wa Sayansi. Kilimo ni sayansi, kilimo cha nchi yetu hakiwezi kuendelea pasipo kuwekeza kwenye utafiti na kuwajengea uwezo watafiti wetu.

TARI ninyi ni moyo wa kilimo nchini, msipofanya kazi nzuri sekta hii haiwezi kukua na hivyo nchi itashindwa kuyafikia malengo tuliyojiwekea ya kukuza uchumi, kuongeza nafasi za ajira na kupunguza umaskini wa watanzania.

Hii ndio sababu serikali inaona umuhimu wa kuimarisha utafiti wa kilimo nchini kwa kuongeza bajeti katika eneo hili ili kusaidia uzalishaji wa mbegu bora na ugunduzi wa mbegu bora sambamba na mafunzo zaidi kwa watafiti wetu lengo kuu likiwa ni kumsaidia mkulima wa Tanzania kuzalisha kwa tija” Alisema Mavunde.

Kwa upande wake Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya utafaiti wa kilimo nchini TARI Dkt. Geofrey Mkamilo ameishukuru serikali kwa kulipa umuhimu eneo la utafiti ambapo katika bajeti ya mwaka 2020/21 walitengewa kiasi cha Tsh 7.3 bilioni na kwa bajeti ya mwaka 2021/22 imeongezeka kufikia Tsh 11.6 Bilioni, katika kipindi hiki Taasisi imefanikiwa, pamoja na mambo mengine, kugundua aina 5 za mbegu bora za mazao: Mbili (2) ni za ngano; moja (1) ya mpunga na mbili (2) za choroko.

Matangazo

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA- DODOMA MJINI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA MAKARANI WAOGOZAJI WAPIGA KURA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rc Senyamule awasihi wawekezaji sekta binafsi kuwekeza Dodoma

    October 03, 2025
  • CCTV kamera mwarobaini wa wavunjifu wa sheria jiji la Dodoma

    October 02, 2025
  • Wadau wa afya wapongezwa kwa juhudi zakudhibiti vifo vya wajawazito

    October 01, 2025
  • UONGOZI WA KLABU YA MICHEZO OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAKUTANA NA RAS KAZUNGU

    September 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.