• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Elimu Sekondari Jiji yawalaza chali Maafisa Watendaji Mchezo wa Pete

Imewekwa tarehe: January 29th, 2025

Na. Halima Majidi, DODOMA

Katika mchezo uliovuta hisia za mashabiki wengi, Timu ya Mchezo wa Pete ya Elimu Sekondari ya Jiji la Dodoma imeibuka kidedea kwa kuishinda Timu ya Maafisa Watendaji wa Kata na Mitaa Jiji la Dodoma goli 3-2.

Mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ulidhihirisha ushindani mkali kati ya timu hizo mbili.

Mchezo ulianza kwa kasi huku wachezaji wa Elimu Sekondari wakionesha umahiri wa hali ya juu katika kurusha mpira kwa haraka na ukabaji imara. Katika robo ya kwanza, timu hiyo iliongoza kwa alama 2 dhidi ya 0 za Maafisa Watendaji.  

Kocha wa Timu ya Elimu Sekondari, Mwl. Zainabu Abdallah, alisema amefanya yake katika kuhakikisha wanachukua ushindi japokuwa mvua imekuwa kikwazo, na aliwapongeza vijana wake kwa kujituma uwanjani na kutumia mbinu walizofanyia mazoezi, na pia alisisitiza wachezaji wawe na tabia ya kufanya mazoezi sio tu mpaka wakti wa michezo au bonanza bali iwe ni tabia endelevu. “Ushindi huu ni matokeo ya nidhamu, mazoezi makali na mshikamano wa timu yetu, na mazoezi ni afya tunashukuru Mungu" alisema Mwl. Abdallah.

Nae Nahodha wa Timu ya Elimu Sekondari, Tulamwona Kihaka, alisema anashukuru Mungu kwa ushindi wa kishindo japo kuwa mtanange ulikuwa mgumu. Hivyo, amewasisitiza wachezaji wenzie kuendeleza ushirikiano. “Nawaasa wachezaji kufanya mazoezi kwa sababu changamoto ni nyingi ila kwa kifupi tumewafunga Maafisa Watendaji Jiji” alisema Kihaka.

Kwa upande wake, Kocha wa Timu ya Maafisa Watendaji, Mafuru Buriro, alisema kuwa mechi ilikuwa nzuri licha ya kuwa hali ya hewa haikuwa vizuri kwa sababu haikuwa rafiki hasa kukimbia. Ushindani ulikuwepo, hata hivyo, timu yake imejifunza mengi na itaendelea kujiandaa kwa michezo mingine. “Leo tumepata changamoto ikiwemo mvua, hivyo, tunajipanga bonanza lijalo Timu ya Elimu Sekondari wajipange” alisema Buriro.

Nahodha, wa Timu ya Maafisa Watendaji, Getruda Katyega, alisema Mchezo ulikuwa mgumu japo kuwa wamepambana na aliahidi kuwa watajiandaa kufanya vizuri zaidi awamu ijayo kwa sababu hawakuwa na mazoezi ya kutosha awamu hii.

Ikiwa ni katika shauku za kuuwaga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025 ambapo Halmashauri ya Jiji la Dodoma iliandaa bonanza hilo ambapo ilikuwepo michezo mbalimbali.





Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.