• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Hakuna afya bila afya ya Akili

Imewekwa tarehe: September 13th, 2023

Na Mwandishi wetu,WMJJWM.

SERIKALI imesema changamoto ya malezi na makuzi ndiyo sababu kubwa inayochangia watu kujinyonga kwa kukosa ustahimilivu na mbinu sahihi za kukabiliana na changamoto ya maisha.

Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wanawake na Makundi Maalum alipokuwa amemuwakilisha Waziri wa wizara hiyo Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani yaliyofanyika katika Hospitali ya Taifa ya Akili (Mirembe)

“Serikali imejipanga kuhudumia wananchi kupambana na changamoto ya tatizo la afya ya akili kwa kutoa elimu na kuja na ainisha afua zakuzuia wananchi kujiua kwani kwa mujibu wa utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) watu kiasi cha laki saba hujinyonga duniani kwa mwezi mmoja,” ameeleza Wakili Mpanju.

Aidha Wakili Mpanju ameeleza kuwa wimbi kubwa la wahanga wa kujiua ni watoto na vijana ambao wamekosa misingi sahihi ya kukabiliana na maisha ikiwemo pia jamii kukosa hofu ya Mungu .

“Utu wa mtu una thamani, changamoto za maisha zinapita, na kujiua si suluhu ya maisha, watu wasijitenge na kuwa upweke, wafike sehemu sahihi ili waweze kupata msaada wa kisaikolojia.” Amehimiza Wakili Mpanju.

Kwa upande wake daktari wa Afya ya akili Mirembe Dkt. Innocent Mwombeki, alibainisha kwamba idadi ya watu wenye changamoto ya akili inaongezeka kwani kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani, utafiti unabainisha kuwa watu 3000 hujiua kwa siku moja.

“Katika kukabiliana na kutatua janga la kujiua, nchi nyingi duniani zimeondoa kosa la kujinyonga kwenye makosa ya jinai kwani tatizo hili linahusiana zaidi na hali ya akili ya mtu ambapo wanaokutwa wakitaka kujiua wanakua na changamoto za kiakili, ” alisema Dkt Mwombeki.

Naye Mwakilishi wa Mkoa wa Dodoma, Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Godwin Gondwe alisema hali ya janga la akili bado ni changamoto mkoani humo kwani tafiti zinaonyesha kuwa watu 10 kati ya 99 hubainika kutaka kujiua kwa siku moja.

“Serikali inapambana kuhakikisha tunaondokana na janga hili hivyo natoa rai kwa wadau mbalimbali kuhakikisha kwamba tunaipunguza changamoto hii” alisema Gondwe.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.