• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

JPM ajiandikisha Chamwino, atoa neno kuhusu kuhamia Dodoma

Imewekwa tarehe: October 12th, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli leo tarehe 12 Oktoba,2019 wamejiandikisha katika Daftari la Orodha ya Wapiga kura katika Kituo cha Sokoine kilichopo katika Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 24 Novemba, 2019.

Baada ya kujiandikisha Rais Magufuli amesalimiana na wananchi wa Chamwino waliokuwa wamejitokeza kujiandikisha katika kituo hicho na kuwaeleza kuwa pamoja na kwamba miundombinu ya Ikulu bado haijakamilika yeye ameshahamia Dodoma.

"Mimi nilikuwa Katavi, nimeamua kuja kujiandikisha rasmi hapa, kwa hiyo kila siku tutakuwa tunaonana hapa, ndio maana nimeona nije nijiandikishe mimi pamoja na mke wangu" amesema Rais Magufuli.

Rais amewataka Watanzania kuendelea kujitokeza katika vituo vya kujiandikisha vilivyopo nchi nzima ili tarehe 24 Novemba, 2019 waweze kutumia haki yao ya kikatiba ya kuwachagua viongozi wa Serikali za Mitaa watakaowaona wanafaa.

Aidha, Rais Magufuli amewapongeza Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dodoma waliofika katika kituo hicho kwa kutekeleza majukumu  yao ya uandishi wa habari na amewasisitiza kuendelea kutimiza majukumu hayo kwa weledi na kwa kutanguliza maslahi ya Taifa.

Baadae, Rais Magufuli aliwaalika waandishi hao na kula nao chakula cha mchana, nyumbani kwake katika Ikulu ya Chamwino.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijiandikisha katika Daftari la Wapiga kura katika Kituo cha Sokoine Chamwino kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika 24 Novemba, 2019.

Rais Dkt. John Magufuli akiongea na wananchi wa Kitongoji cha Sokoine Wilayani Chamwino mara baada ya kujiandikisha katika Daftari la Wapiga kura leo.

Rais Dkt. John Magufuli baada ya kujiandikisha na kisha kuongea na wananchi wa Kitongozi cha Sokoine, aliwaalika waandishi wa habari waliohudhuria uandikishaji kula naye chakula cha mchana pamoja ambapo aliwapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya, na kuwahimiza kuendelea kufanya kazi zao kwa weledi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA- DODOMA MJINI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA MAKARANI WAOGOZAJI WAPIGA KURA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rc Senyamule awasihi wawekezaji sekta binafsi kuwekeza Dodoma

    October 03, 2025
  • CCTV kamera mwarobaini wa wavunjifu wa sheria jiji la Dodoma

    October 02, 2025
  • Wadau wa afya wapongezwa kwa juhudi zakudhibiti vifo vya wajawazito

    October 01, 2025
  • UONGOZI WA KLABU YA MICHEZO OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAKUTANA NA RAS KAZUNGU

    September 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.