HALMASHAURI zote za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji katika mwaka wa fedha 2021/22 zilipanga kukusanya Shilingi Bilioni 863.9 kutoka kwenye vyanzo vyake vya ndani, Aidha katika kipindi cha mwezi Julai hadi Septemba, 2021 Halmashauri zimekusanya jumla ya Shilingi 212.7 ambayo ni sawa na asilimia 25 ya makisio ya mwaka sawa na asilimia 100 ya lengo la robo mwaka.
Hayo yamesemwa leo tarehe 28/10/2021 na Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalim alipokuwa akiongea na waandishi wa habari kutoa taarifa ya makusanyo kutoka vyanzo vya ndani vya Halmashauir zote nchini.
Kuona taarifa kamili bofya hapa: TAARIFA YA MAPATO YA NDANI ROBO YA KWANZA,2021/2022.pdf
Chanzo: tamisemi (instagram)
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.