Na WAF - Bukoba, Kagera
Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kuanza mchakato wa ujenzi wa hospitali maalum ya magonjwa ya mlipuko na kituo kikuu cha uchunguzi wa magonjwa katika mkoa wa Kagera kutokana na mkoa huo kupakana na nchi ambazo zimekuwa na historia ya kushambuliwa mara kwa mara na magonjwa hayo.
Waziri Mhagama amesema hayo Januari 3, 2025 akiwa katika ziara mkoani humo, wakati akikagua maeneo hayo mawili ya kimkakati ambayo yanatarajiwa kujengwa hospitali hiyo.
"Tayari nimetembelea maeneo haya, yanafaa kujengwa hospitali na kituo hicho maalum kwa ajili ya uchunguzi wa magonjwa ya mlipuko," amesema Waziri Mhagam
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.