• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Hospitali ya Mirembe yapokea gari ya Wagonjwa

Imewekwa tarehe: December 8th, 2023

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule leo Disemba 8, 2023, amezindua gari mbili za Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe iliyopo katika Kata ya Hazina Jijini Dodoma ambapo kwa kipindi kirefu Hospitali hii imekua ikikabiliwa na ukosefu wa vitendea kazi hivi.

Akizindua gari hizi ambazo moja ni kwa ajili ya kubebea wagonjwa na nyingine ni kwa matumizi ya kazi za kawaida za Hospitali, Senyamule amesisitiza utunzaji wa vitendea kazi hivi.

"Serikali ya awamu ya Sita wakati huu imekua na kasi kubwa ya kuimarisha huduma za afya na kwa Mkoa wetu wa Dodoma kila ngazi imeimarika kwa nafasi yake. Kwa mwaka huu pekee kumekua na uzinduzi wa gari za wagonjwa ambapo Mkoa wetu umepata jumla ya gari 30 ambapo 10 ni kwa ajili ya kazi na 20 kwa ajili ya kubeba wagonjwa.

"Natoa shime kwa watumiaji wa gari hizi kuzitumia kwa utaratibu na miongozo ili ziweze kudumu kama ilivyotarajiwa hivyo vitendea kazi hivi vitumike vizuri. Afya ya akili ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa mapema ili lisikufikishe sehemu mbaya. Huduma munayoitoa ikifikia watu wengi, itatengeneza utashi zaidi." Amesema Senyamule.

Hata hivyo, Mkurungenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mirembe Dr. Paul Lawala, ameishukuru Serikali kwa kuona umuhimu wa kuleta vitendea kazi kwenye Hospitali hii kwani hapo awali walikua wakipata changamoto kwenye utekelezaji wa huduma hasa linapohitajika suala la usafiri kwani kwa Sasa wamepanua huduma za Hospitali za dharura na mahututi hivyo ujio wa gari hizi umefika wakati muafaka kutatua changamoto hiyo.


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.