• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Idadi ya Watoto katika vituo vya Utayari yaongezeka

Imewekwa tarehe: November 5th, 2022

IDADI ya watoto waliokosa fursa ya kusoma elimu ya awali katika Mkoa wa Rukwa, Simiyu na Pwani imezidi kuongezeka katika vituo vya Utayari wa kumuondaa mtoto kwenda shule sababu kubwa ikitajwa kuwa ni muitikio mkubwa wa jamii kuhusiana na mpango huo.

Hadi kufikia Novemba, 04, 2022 Mkoa wa Pwani una zaidi ya watoto 1200, Mkoa wa Simiyu una watoto zaidi ya 1600 huku Mkoa wa Rukwa ukiongoza kwa kuwa na zaidi ya watoto 2000 katika vituo vya Utayari.

Hayo yamebainishwa na washiriki wa Mafunzo ya SRP kutoka katika Mikoa ya Pwani, Rukwa na Simiyu yaliyomalizika Novemba,4 2022 Jijini Dodoma.

Akizitaja sababu za ongezeko hilo Afisa Elimu Taaluma wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, John Mpamwa amesema ongezeko hili limesababishwa na muitikio mkubwa wa wazazi kwa kuchukua hatua na kuwapeleka watoto katika Vituo vya Utayari ili waweze kuandaliwa kwaajili ya kuanza darasa la kwanza hapo mwakani.

Kwa upande wake Mratibu wa Shule bora kutoka Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bw. Winfrid Chilumba amesema ongezeko hilo ni moja ya mafanikio ya awali ya Mpango wa Utayari.

Ameeleza kuwa sio tu idadi ya watoto imeongezeka lakini pia watoto wenye umri zaidi ya miaka sita waliokosa fursa ya kusoma elimu ya awali wamejitokeza kwa wingi katika Vituo ukizingatia mpango huu ulilenga hasa watoto wenye miaka minne hadi sita.

Naye Mtaalam Kiongozi anayesimamia eneo la ujifunzaji na ufundishaji kutoka katika Mradi wa Shule Bora Vicent Katabarwa amesema Mikoa hiyo mitatu imetumika kama Mikoa ya majaribio, lengo likiwa baada yakuona mafanikio katika mikoa hiyo mpango wa utayari utatekelezwa katikaMikoa Mingine ambayo Shule Bora inahudumia.

Amesema tathmini ya utekelezaji wake itafanyika katika ngazi tatu, moja Halmashauri husika itafanya ufatiliaji kuona jinsi
watoto wanavyojifunza,pili viongozi wa Kitaifa watatembelea Vituo vya Utayari na kufanya tathmini, na tatu ni idadi ya wanafunzi watakaoanza darasa la kwanza mwaka 2023 ambao wamepitia katika mpango wa utayari.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.