• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Jambo Group yaanza kununua zabibu za wakulima Dodoma

Imewekwa tarehe: August 20th, 2022

KAMPUNI ya Jambo Ltd kutoka mkoani Shinyanga jana imeanza kununua zabibu kutoka kwa wakulima katika maeneo mbalimbali mkoani Dodoma ikiwa ni siku chache baada ya tamko la Waziri wa Kilimo Mh. Hussein Mohamed Bashe alililotoa wakati akijibu changamoto za wakulima wa zabibu walizowasilisha mbele ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan aliposimama kuwasilimia eneo la Mpunguzi, Jijini Dodoma.

Zoezi la ununuaji wa zabibu katika mashamba ya Mpunguzi, Handali na Hombolo limeshuhudiwa na Naibu Waziri wa Kilimo Mh. Anthony Peter Mavunde ambaye pia alielezea mikakati mbalimbali inayofanywa na serikali kutatua changamoto hii kuwa ni:-

Kuongeza wigo wa masoko ya zabibu kwa kampuni za vinywaji nchini na nje ya nchi. “Kwa sasa tunaishukuru sana Kampuni ya Jambo Ltd kwa kuanza na ununuzi wa Tani 3,000 za zabibu kwa awamu hii, tunakaribisha wadau wengine pia watengenezaji wa vinywaji kuitumia zabibu yenye ubora kutoka Dodoma kama sehemu ya malighafi yao ya viwanda”, alisema Mh. Mavunde.

Imeelezwa kuwa Serikali imekaa na baadhi ya wamiliki wa viwanda vya uchakataji zabibu ili kuangalia uwezekano wa kupunguza mchuzi wa zabibu kwenye matenki yao ili ipatikane nafasi kwa ajili ya zabibu zilizopo mashambani.

Kampuni ya CETAWICO imeshapunguza zaidi ya lita 250,000 kwenye matenki yake ya Hombolo na kuanza kuchukua mchuzi lita 30,000 katika matenki ya Ushirika wa Wakulima wa Zabibu Mpunguzi (UWAZAMAM) hali ambayo itawezesha kupatikana nafasi na kuhifadhi mchuzi wa zabibu utakaotokana na zabibu za msimu huu.

Kampuni ya KISITU WINERY nayo ina nafasi ya uhifadhi wa mchuzi wa lita 200,000 na kwa sasa tunashirikiana nao kwa kuzishirikisha Taasisi za kifedha ili na wao waweze kununua zabibu zilizopo mashambani.

Kuangalia upya sera za kikodi ili kuufanya mvinyo kutoka Dodoma kuwa shindani kwenye soko la mvinyo nchini na kimataifa pia.

Wizara ya Kilimo kutekeleza bajeti ya Ujenzi wa vituo vya uchakataji na uhifadhi wa mchuzi wa zabibu ili kunusuru zabibu za wakulima kuoza shambani pindi yanapotokea matatizo ya Soko.

Naye Mwakilishi wa Kampuni ya Jambo Ndg. Emmanuel Ngusa amewahakikishia wakulima wa zabibu wa Mkoani Dodoma juu ya nia na dhamira ya Kampuni ya Jambo kuendelea kuwa soko la uhakika la zabibu za Dodoma baada ya kujiridhisha na ubora katika kipindi hiki cha majaribio ya awamu ya kwanza.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti Mbunge wa Jimbo La Mvumi Mh. Livingstone Lusinde na Mwenyekiti wa Ushirika wa Zabibu Ndugu David Mwaka wamepongeza hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali katika kumnusuru mkulima wa zabibu na ukosefu wa soko na kuiomba serikali kuhakikisha inakuja na mpango wa kudumu wa uhakika wa soko la zabibu.


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.