Serikali imetangaza tathimini ya makusanyo ya kodi kwa vyanzo vya ndani vilivyopo katika kila Halmashauri nchini.
Taarifa hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Serikali, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imekuwa kinara wa ukusanyaji wa Mapato kati ya Majiji yote sita yaliyopo Nchini, huku Jiji la Mbeya likiwa katika nafasi ya mwisho.
Gonga hapa kusoma Taarifa nzima kwa kina...TAARIFA YA MAKUSANYO YA MAPATO - OKTOBA - 05.pdf
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.