HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeongoza kwa uandikishaji na kuvuka malengo kwa kufikisha asilimia 128.79 kati ya Halmashauri zote 184 za Tanzania ambapo imeandikisha jumla ya wapiga kura 628,715 kati yao wanaume ni 312,850 na wanawake 315,865.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.