• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

JPM amwagiza Mkurugenzi wa Jiji kulipa fidia ya shilingi bilioni 3.3 waliopisha ujenzi wa Makao Makuu ya JWTZ Kikombo

Imewekwa tarehe: November 26th, 2019

Rais wa Tanzania, John Magufuli amemwagiza Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma (City Director), Godwin Kunambi kuanza kuwalipa wananchi fidia zao Desemba Mosi, 2019 ili kupisha ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Rais Magufuli ameyasema hayo jana Jumatatu Novemba 25, 2019 jijini Dodoma wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa makao makuu ya JWTZ yatakayojengwa katika eneo la Kikombo jijini humo ikiwa ni mwendelezo wa serikali kuhamia Dodoma.

Amemtaka Mkurugenzi wa Jiji kubeba jukumu la kuwalipa wananchi 1500 wanaoondolewa kwenye eneo hilo jumla ya Sh3.399 bilioni kwa sababu jiji hilo litanufaika kwa JWTZ kuhamia Dodoma na wananchi hao pia ni wakazi wa Dodoma.

Aidha amewataka wananchi wanaostahili kulipwa fidia kuacha kuwasikiliza matapeli wanaowadanganya kuwa ndio wenyeviti wanaosimamia mafao yao na badala yake wahakikishe wanaenda kuchukua fedha zao ifikapo Desemba Mosi mwaka huu kwani mtetezi wao ni serikali na sio mtu mwingine yeyote.

“Kwasababu jiji la Dododoma liko pale kwa kujibu wa sheria na ninafurahi kwamba Mkurugenzi ambaye ni kijana amekuwa akiongoza kwenye makusanyo katika jiji hili ninatoa maelekezo leo kwa Mkurugenzi wa jiji achukue bilioni 3.399 kuanzia Desemba Mosi mwaka huu aanze kuwalipa fidia wananchi wa hapa bila kuwapunja.

“Ninatoa wito kwa wananchi wanaopaswa kulipwa fidia msianze kubadilisha hizo fidia maana ninafahamu kuna matapeli ambao wanapita kwenye maeneo yenu wakijiita kuwa ndio wenyeviti wa kutete fidia embu achaneni nao maana mtetezi ni serikali wala wasije wakawadanganya kwani wa kufanya hivyo mnajichelewesha.

Ameongeza kuwa kwa wale watakaojichelewesha kuchukua fidia hiyo ninajua wanajeshi wakishaingia rasmi katika eneo hilo itabidi waende kuwaomba wao mwenyewe.


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.