• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Kocha Makata aahidi zawadi ya mwaka mpya kwa mashabiki wa Dodoma Jiji FC

Imewekwa tarehe: January 1st, 2021

Kikosi cha Dodoma Jiji FC kinachoshiriki ligi Kuu Tanzania Bara kipo Mkoani Shinyanga, kwa mchezo dhidi ya Mwadui FC katika mchezo namba 17 wa Ligi kuu utakaochezwa leo siku ya mwaka mpya tarehe 1.1.2021 ndani ya dimba la Mwadui Complex saa nane mchana.

Kikosi hicho kinachojumuisha wachezaji 20 pamoja na viongozi tisa kitawakosa wachezaji wake wawili kiungo mkabaji Rajabu Mgalula ambaye ana majeraha aliyoyapata wakiwa mazoezini pamoja na golikipa namba moja Aron Kalambo ambae ana kadi tatu za njano.

Akizungumza mjini Shinyanga Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC amesema kuwa wanamshukuru Mungu kwa kufika salama na hali za wachezaji ziko vizuri kwa ajili ya mchezo huo.

Aidha amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kutokana na kuwakosa wachezaji wake wawili kwa kusema kuwa kila mchezaji ana mbadala ndani ya timu hivyo nafasi zao zitachezwa na wachezaji wengine wenye uwezo na uzoefu na kuahidi kupata pointi tatu katika mchezo huo.

“Mwadui sio timu ndogo ndio maana inashiriki Ligi Kuu hivyo tumechukua tahadhali zote za kimichezo na tumejipanga kuhakikisha tunarudi nyumbani na pointi tatu na hii ndio itakua zawadi nzuri ya mwaka mpya kwa wana Dodoma na mashabiki wote wa Dodoma nchi nzima.” Ameongeza Makata.

Aidha, katika ukurasa rasmi wa timu ya Dodoma Jiji FC wameandika kuwa "Tunachukua fursa hii kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na Dunia kwa wema na fadhili zake tumeingia mwaka mwingine 2021. 

Mwaka 2020 ulikuwa mwaka wa mafanikio sana kwetu na mashabiki wetu kwani tuliweza kutwaa Kombe la Ligi Daraja la Kwanza na kufanikiwa kupanda Ligi Kuu ya Vodacom Premier League - VPL..

Tunawashukuru mashabiki wetu kwa kuwa nasi bega kwa bega na tunawaahidi kuwa hatutawaangusha. Vile vile tunaishukuru Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Viongozi wa timu, benchi la ufundi pamoja na wachezaji wote kwa kujitoa kwao kuipigania timu yetu pendwa.

Mwaka 2021 ni mwaka wa mapambano na mavuno kwa klabu yetu".

HERI YA MWAKA MPYA 2021!

 


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.