• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Kunambi amaliza mgogoro uliodumu kwa miaka 20

Imewekwa tarehe: June 15th, 2019

MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi amemaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 20 kwa wakazi eneo la C Centre lililopo kata ya Nkuhungu Jiji la Dodoma.

Akizungumza katika kikao cha pamoja kati makundi mawili ya wananchi waliokuwa na misimamo tofauti na timu ya maafisa ardhi wa Halmashauri ya Jiji kujadili namna ya kuwasaidia wananchi wa eneo hilo la C Centre katika ukumbi wa Jiji amesema ipo haja ya serikali kuwasaidia wananchi hao kupata stahiki zao katika eneo hilo lakini wanatakiwa kuwa wakweli na waadilifu.

“Nataka kila mtu atambue kuwa yeye ni mvamizi kwenye eneo hili lakini serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli haiwezi kuwaacha wananchi wake wakataabika hivyo tumeamua kufanya hisani kwa kuhakikisha kila mtu apate kiwanja katika eneo hilo ili ajenge” Alisema Kunambi

“Endapo mtu mwenye haki ya kupata eneo la C Centre atakosa kwa sababu yoyote ile halmashauri itajitahidi kumtafutia eneo jingine lakini kwanza tumalize na hawa waliokuwa wakiishi hapo kwa miaka mingi na hawana mbadala wa mahali pengine pa kuishi”. Aliongeza Kunambi.

Kufuatia hatua hiyo makundi yaliyokuwa yakisigana kwa muda mrefu bila kupata suluhu na wengine kushindwa hata kusalimiana wameonyesha furaha yao mbele ya Mkurugenzi  wa Jiji na kuahidi kudumisha mshikamano katika eneo hilo. Baada ya Mkurugenzi Kunambi kuhitimisha kikao hicho, wananchi hao walikumbatiana kwa furaha kuonesha kuisha kwa mgogoro huo uliodumu kwa muda mrefu na kukwambisha baadhi ya shughuli za kimaendeleo.

Baadhi ya wajumbe waliowakilisha wananchi wanaoishi katika eneo hilo wamemshukuru Mkurugenzi wa Jiji na kuahidi kusimamia utaratibu waliokubaliana kwa pamoja na kuhakikisha hakuna udanganyifu utakaojitokeza kwenye kuwatambua wananchi wanaotakiwa kupewa viwanja katika eneo hilo.

Naye Mtendaji wa Mtaa wa C Centre ameahidi kusimamia zoezi hilo kwa uaminifu na kuomba ushirikiano kutoka kwa wananchi kuweza kubaini watu wenye nia ovu ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa kwa yeyote atakayekiuka maazimio ya kikao hicho.

Kunambi ameahidi kupima upya eneo hilo ili kukidhi hitaji la wananchi hao na kuhakikisha zoezi hilo linakamilika ndani ya miezi miwili.

Wananchi walioshiriki kikao kilichokaa ili kupata ufumbuzi wa tatizo lililodumu kwa muda mrefu.

Wananchi wa eneo la C Center wakimsikiliza Mkurugenzi kwa makini wakati wa mjadala wa kupata ufumbuzi wa tatizo la ardhi.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.